“Kuchelewa uzalishaji wa maziwa” Kutokana na changamoto ya kuchelewa kwa uzalishaji wa maziwa ya kwanza kwa akina mama baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji na uzazi wa mara ya kwanza, Mobile Facilitation Team (MOFATE) imeandaa darasa maalum la kimtandao litakalojibu hoja hii kwa kina kupitia wanataaluma mahiri katika sekta ya afya.

Katika darasa hili, wataalamu bingwa watachambua:
โ
Sababu zinazochangia tatizo hili
โ
Athari zake kwa afya ya mtoto mchanga
โ
Njia bora za utatuzi
๐
Tarehe: 19 Aprili 2025
๐ Muda: Saa 1:00 usiku – Saa 3:00 usiku (EAT)
๐ Mahali: Google Meet
Watoa Mada:
๐จโโ๏ธ Rwebahura France โ Mkunga Mbobezi, Hospitali ya Taifa Muhimbili (Mloganzila)
๐ฉโโ๏ธ Dkt. Bayo Nade – Bingwa wa Uzazi Hospitali ya Mt. Joseph Peramiho
๐ฉโโ๏ธ Anitha Mganga โ Mkunga Mwezeshi na Mbunifu wa Afya ya Mama na Mtoto
Walengwa:
๐ฉโโ๏ธ Wataalamu wa afya
๐คฐ Wajawazito
๐คฑ Wanaonyonyesha
๐จโ๐ฉโ๐งโ๐ฆ Wawezeshaji wa elimu ya afya kwa jamii
๐ฅ Watu wa rika zote wenye nia ya kujifunza
ADA YA USAJILI
Kuna vifurushi viwili vya ushiriki:
๐น Kifurushi cha Dhahabu – Tsh. 5,000
โ Elimu kamili
โ Cheti cha ushiriki
โ CPD Points (kwa wataalamu wa afya)
๐น Kifurushi cha Fedha – Tsh. 2,000
โ Elimu kamili
โ CPD Points (kwa wataalamu wa afya)
๐ฐ Malipo yafanyike kupitia:
๐ M-Pesa Lipa Namba: 58193104
๐ NMB Account Namba: 61810109927
๐ Jina la Akaunti: Mobile Facilitation Team
โ Jisajili sasa kupitia: https://mofate.com/delayed-lactation-causes-solutions-impact/
๐ Mwisho wa usajili: 18 Aprili 2025
๐ Jinsi ya Kupata Kiungo cha Kuingia
Siku moja kabla ya mada, utapokea kiungo cha kuingia moja kwa moja kupitia barua pepe au njia nyingine utakayopendekeza.
๐ Kwa msaada zaidi, wasiliana nasi:
๐ฑ Simu: 0752691481 | 0626182927
๐ง Barua pepe: mofate2023@gmail.com | info@mofate.com
๐ Tovuti: www.mofate.com
๐ข Sambaza tangazo hili kwa wengine!
โ Karibu sana,
MOFATE!