Kuchelewa uzalishaji wa maziwa ya kwanza kwa akina mama baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji na uzazi wa mara ya kwanza, nini chanzo, athari na suruhisho

Kuchelewa uzalishaji wa maziwa ya kwanza kwa akina mama baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji na uzazi wa mara ya kwanza, nini chanzo, athari na suruhisho

Kuchelewa uzalishaji wa maziwa” Kutokana na changamoto ya kuchelewa kwa uzalishaji wa maziwa ya kwanza kwa akina mama baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji na uzazi wa mara ya kwanza, Mobile Facilitation Team (MOFATE) imeandaa darasa maalum la kimtandao litakalojibu hoja hii kwa kina kupitia wanataaluma mahiri katika sekta ya afya.

Kuchelewa uzalishaji wa maziwa ya kwanza kwa akina mama baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji na uzazi wa mara ya kwanza, nini chanzo, athari na suruhisho

Katika darasa hili, wataalamu bingwa watachambua:
✅ Sababu zinazochangia tatizo hili
✅ Athari zake kwa afya ya mtoto mchanga
✅ Njia bora za utatuzi

📅 Tarehe: 19 Aprili 2025
🕜 Muda: Saa 1:00 usiku – Saa 3:00 usiku (EAT)
📍 Mahali: Google Meet

Watoa Mada:

👨‍⚕️ Rwebahura France – Mkunga Mbobezi, Hospitali ya Taifa Muhimbili (Mloganzila)
👩‍⚕️ Dkt. Bayo Nade – Bingwa wa Uzazi Hospitali ya Mt. Joseph Peramiho
👩‍⚕️ Anitha Mganga – Mkunga Mwezeshi na Mbunifu wa Afya ya Mama na Mtoto

Walengwa:

👩‍⚕️ Wataalamu wa afya
🤰 Wajawazito
🤱 Wanaonyonyesha
👨‍👩‍👧‍👦 Wawezeshaji wa elimu ya afya kwa jamii
👥 Watu wa rika zote wenye nia ya kujifunza

ADA YA USAJILI

Kuna vifurushi viwili vya ushiriki:

🔹 Kifurushi cha Dhahabu – Tsh. 5,000
✔ Elimu kamili
✔ Cheti cha ushiriki
✔ CPD Points (kwa wataalamu wa afya)

🔹 Kifurushi cha Fedha – Tsh. 2,000
✔ Elimu kamili
✔ CPD Points (kwa wataalamu wa afya)

💰 Malipo yafanyike kupitia:
📌 M-Pesa Lipa Namba: 58193104
📌 NMB Account Namba: 61810109927
📌 Jina la Akaunti: Mobile Facilitation Team

Jisajili sasa kupitia: https://mofate.com/delayed-lactation-causes-solutions-impact/

🛑 Mwisho wa usajili: 18 Aprili 2025

🔔 Jinsi ya Kupata Kiungo cha Kuingia
Siku moja kabla ya mada, utapokea kiungo cha kuingia moja kwa moja kupitia barua pepe au njia nyingine utakayopendekeza.

📞 Kwa msaada zaidi, wasiliana nasi:
📱 Simu: 0752691481 | 0626182927
📧 Barua pepe: mofate2023@gmail.com | info@mofate.com
🌍 Tovuti: www.mofate.com

📢 Sambaza tangazo hili kwa wengine!

Karibu sana,
MOFATE!

5 1 vote
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Oldest
Newest Most Voted